Faragha

Faragha

Faragha yako ni muhimu kwetu. Hapa tuna sera ya faragha yetu ambayo inaelezea ni vipi tunakusanya, tunaweka na kutumia maelezo ambayo unawasilisha kwetu.

1. Tuna maelezo gani?
Tuna vigezo ambavyo uliwasilisha kwetu kupitia fomu ya usajili ya Advocacy Assembly. Pia tunatumia msimbo wa ufuatiliaji wa Google Analytics kwenye ukurasa wetu lakini haiwezi kuhusisha anwani ya IP kwa Utambalisho wa mtumiaji.

2.Ni kwa nini tunahitaji maelezo haya?
Tunauliza maelezo fulani katika fomu yako ya usajili. Jina lako ili cheti chako kiwe na maelezo sahihi; nchi unamoishi ili tupate wafundishaji wanaofaa na kuandaa kozi za zijazo kufikia mahitaji ya wanafunzi.

3. Ni vipi maelezo haya yanahifadhiwa?
Data zote za watu binafsi zinashughulikiwa na wahudumu wateule UK na kuwekwa kwenye sava salama nchini UK. Hamna mhusika mwengine atafikia data zako binafsi.

4. Tunafanyia nini?
Tunatumia data kuangalia ufikiaji wetu wa walengwa, kuhesabu idadi ya walijisajili, na kozi zilizomalizwa, na umaarufu wa mada za kozi.

5. Tunahifadhi kwa muda gani?
Tunahifadhi vigezo vilivyotajwa kwa muda usiojulikana (kwa muda Advocacy Assembly itakuwa).

6. Nina haki ya kuondoa makubaliano yangu?
Ndiyo. Iwapo haujafurahia chochoto kilichoko hapo juu unaweza kuondoa akaunti yako.

7. Swala au malalamishi yoyote?
Iwapo una lalama au unataka kuliza suala linalohusiana na faragha tutumie baruapepe [email protected]

Ruka enda kwa upitiaji/urambazaji
0
0
  • Faragha
  • Maagizo