Maagizo

1. Maagizo

Kwa kupitia tovuti hii, unakubali kufungamanishwa na Maagizo na Masharti ya kutumia ya tovuti hii, sheria tumizi na kanuni, na kukubali kuwa utawajibikia sheria yoyote ya mahali uliko. Kama hautakubaliana na maagizo yoyote, hauruhusiwi kutumia au kupitia tovuti hii. Vifaa vilivyomo kwenye tovuti hii vimechungwa na sheria za hakimiliki na chapa.

2. Tumia Leseni

Ruhusa inatolewa kwa muda ya kupakua nakala moja ya vifaa (taarifa au programu) katika tovuti ya Advocacy Assembly kwa nia ya kibinafsi, na njia kuona tu na isiyo ya kibiashara. hiki ni kibali cha leseni, si uhamishaji wa mada, na kwenye leseni kama hii huwezi:

  • badilisha au kunakili vifaa
  • kutumia vifaa namna yoyote ya kibiashara, au kwa maonyesho yoyote kwa umma (kibiashara au yasiyokuwa ya kibiashara);
  • au kujaribu kusambaratisha au kufumua programu yoyote iliyomo katika tovuti ya Advocacy Assembly; au
  • kuondoa hakimiliki yoyote au maandishi ya umiliki kutoka vifaa; au
  • kuhamisha vifaa kwa mtu mwengine au 'kunakili' vifaa kuenda sava yoyote.

Leseni itakatizwa maramoja iwapo utakiuka mojawapo ya vikwazo hivi na itakatizwa wakati wowote na Advocacy Assembly. Pindi unapokatiziwa kuona vifaa hivi au pindi unapokatiziwa leseni, sharti ufute vifaa vyote ulivyopakua ulivyo navyo kwenye mitambo au ulivyochapisha.

3. Onyo

Vifaa katika tovuti ya Advocacy Assembly vimetolewa "vilivyo". Advocacy Assembly haitoi kibali, kwa maandishi au kwa kuashiria, na hivyo haikubali na inakatalia mbali waranti au masharti ya kibiashara, kuwa sawa kwa kusudi fulani, au kutohitilafiana na kazi za ubunifu au ukiukaji mwingine wa haki. Vilevile Advocacy Assembly hairuhusu au kuwakilisha usahihi, matokeo unayotarajia, au utegemezi kwa matumizi ya vifaa vya katika tovuti yao mtandao au chochote kuhusiana na vifaa hivyo au tovuti yoyote inayohusiana na tovuti hii.

4. Vikwazo

Kwa namna yoyote hamna wakti Advocacy Assembly au washirika wake watahusihwa kwenye uharibifu wowote (ikiwa pamoja na, bila kubania, uharibifu kupoteza data au kufaidi au kufuatia uvurugaji wa biashara,) unayojitokeza kutokana na matumizi ya vifaa vya tovuti ya Advocacy Assembly hata kama Advocacy Assembly au Advocacy Assembly mwakilishi halali amefahamishwa kwa maneno ya mdomo au kwa maandishi kuhusiana na uwezekano wa uharibifu huo. Kwa sababu baadhi ya sheria haziruhusu vikwazo kwenye waranti matarijio, au vikwazo katika uwajibikaji wa matokeo au uharibifu usiokusudiwa, vikwazo hivi haviwezi kutumiwa dhidi yako.

5. Marekebisho na Hitilafu

Vifaa vinakuwa katika tovuti ya Advocacy Assembly huenda vikawa na hitilafu za kiufundi, uchapishaji, au za picha. Advocacy Assembly haikuhakikishii kuwa vifaa vyovyote kwenye tovuti yake ni sawia, kamilifu, au vya sasa. Advocacy Assembly inaweza kubadilisha vifaa vilivyomo kwenye tovuti yake wakati wowote bila kukuarifu. Advocacy Assembly haina shurutisho lolote la kuweka vifaa.

6. Viunganisho

Advocacy Assembly haijahakiki tovuti zote zinazounganishwa kwenye tovuti yake na hawajibikii kazi zote zinazohusiana na tovuti hizo. Hujumuishaji wa viunganisho vyovyote haimanishi kuwa Advocaccy Assembly inakubalisha tovuti hizo. Matumizi ya tovuti kama hizo ni kwa tahadharisho ya mtumiaji mwenyewe.

7. Maagizo ya Matumizi kwa Ubadilishaji kwenye Tovuti

Advocacy assembly inaweza kubadilisha maagizo ya matumizi ya tovuti hii wakati wowote bila arifa. Kwa kutumia tovuti hii unakubali kufungamanishwa na Maagizo na Masharti yanayotumika kwa sasa.

8. Sheria Kuu

Madai yoyote yanayohusiana na tovuti ya Advocacy Assembly yatafuata kwa na kuambatana na kutafusiriwa kulingana sheria za England na Wales bila kuzingatia msimamo mkuu wa sheria pingamizi. Pingamizi zote zinazotokea kutoka au kuhusiana na Makubaliano haya zitasuluhishwa na korti za London, United Kingdom.

Ruka enda kwa upitiaji/urambazaji
0
0
  • Faragha
  • Maagizo