Mashirika Tunaoshirikiana

Kutana na Washika wetu

Tulitaka kujenga jukwaa mafunzo-ya-mtandao ambalo litatosheleza wanafunzi binafsi wanaohudhuria hafla zetu na kuwaruhusu kujifunza kulingana na uwezo wao. Pia tulitaka kuunda jukwaa ambapo tungefanyia kozi ambazo zitatumika kama kigezo cha wanafunzi binafsi ili kuweka usawa. Lakini Advocacy Assembly si yetu, inamilikiwa na washirika wetu wote wanafundisha na pamoja, tunatengeneza kituo cha kuimarisha ujuzi wa watetezi wa haki za binaadamu, wahamasishaji na wanahabari kote ulimwenguni.

  • Access Now

  • Global Network Initiative

  • Internet Intelligence Lab

  • Open Observatory of Network Interference (OONI)

Je ungependa kuwa mwalimu?

Tunatafuta mashirika bunifu ambayo yana vifaa vya kipekee vya kufundishia ambavyo vinaweza kutumiwa kwenye jukwaa la Advocacy Assembly.

Wasiliana nasi

Pata kozi za hivi punde kwenye kabrasha.

Jiandikishe kupata jarida letu leo

Ruka enda kwa upitiaji/urambazaji
0
0
  • Faragha
  • Maagizo