Linaloongoza ulimwenguni kwa mafunzo ya mtandaoni ya bure kwa wanaharakati wa haki za binaadamu, wahamasishaji na wanahabari.
Kozi zetu za mifumo mingi zinafunzwa na wataalamu wa kiufundi, haki za binadamu, uanahabari, usanifu, na data kutoka mashirika bora ulimwenguni.
Jipatie ujuzi wa kiufundi wa utetezi kwa lugha ya Kingereza na lugha nyinginezo. Kozi huchukua hadi muda wa dakika 90 kumaliza kwa mwendo unaopenda. Unaweza kuanza na kumaliza kozi wakati wowote unaotaka.
60 dakika
Shutdown Academy
60 dakika
Shutdown Academy
120 dakika
Shutdown Academy
120 dakika
Shutdown Academy
60 dakika
Shutdown Academy
60 dakika
Shutdown Academy
60 dakika
Shutdown Academy
60 dakika
Shutdown Academy
120 dakika
Shutdown Academy
120 dakika
Shutdown Academy
60 dakika
Shutdown Academy
60 dakika
Shutdown Academy
Pata kozi za hivi punde kwenye kabrasha.
Jiandikishe kupata jarida letu leo
Kupima Gharama Kutokana na Uzimaji wa Mtandao
Kifaa hiki ni mwongozo halisi cha kupimia hasara ya kiuchumi kila sekta ambayo imesababishwa kutokana na uzimaji mtandao. Inawezesha ufikiaji wa baadhi ya zana, inakupa maelezo kuhusiana na mbinu wanazotumia na kuangazia vigezo na mapungufu vyao.
Idhinishwa: Kutambulisha Vyeti vya AASA kwa Watetezi Uhuru Wa Mtandao
The Advocacy Assembly Internet Shutdown Academy (AASA inatoa vyeti kwa wanafunzi wa mtandaoni ambao walimaliza kozi kumi zote katika programu za Shutdown Academy!
Uhakiki wa Shutdown Academy Ya Advocacy Assembly katika mwaka wa 2023
Katika mwaka wa 2023 Shutdown Academy ya Advocacy Assembly ilifanikiwa sana katika kuendeleza upiganaji wa haki za kidijitali na kupigania haki za uzimaji mtandao kote ulimwenguni. Tuna furaha kushea na nyinyi mafanikio makubwa na miradi tulifanikisha mwaka huo, na kuonyesha shughuli ambazo tumefanya kwa muda wa mwaka mmoja.
Stori Ukakamavu kutoka Mradi wa Mafundisho ya Advocacy Assembly
Kwa sababu ya maombi mengi ya kutaka kuwa na Mradi wa Mafunzo ya Ukuzaji wa AA-ISA wa kwanza, tumeamua kuendesha huu mradi kuanzia Februari hadi Aprili 2024. Mradi huu utakufaa na kukupa maelekezo ya kijamii huku ukisomea kozi kumi za Advocacy Assembly Internet Shutdown Academy, na pia nafasi za kukutana na wakuzaji, wataalam na wafadhili.
Changamoto na fursa kwaajili ya mpango mkakati wa kupingana na uzimwaji wa mtandao
Kama sehemu ya uchechemuzi unaofanywa na hii kozi ilikusanya meza ya majadiliano kwenye mpango mkakati kupingana na uzimwaji wa mtandao. Kwenye majadiliano Wataalamu walioongelea uzoefu wa changamoto wa uzimwaji mahakamani Kitaifa na kikanda na Kushea mazoezi kwenye mkakati wa kisheria.
Kichwa cha habari: kozi za kuzuia kuzimwa kwa mtandao
Uchechemuzi unazuia uzimwaji wa mtandao na ukatazaji wa watu kutoa maoni yao mtabdaoni. Watu wakikosa upatikanaji wa mtandao wanapoteza haki muhimu na fursa mbalimbali zinazopatikana ulimwenguni. Watu kutoka sehemu mbalimbali duniani wanapigania haki ya upatikanaji wa mtandao ikiwemo Mawakili, Waandishi wa habari na watetezi wa Haki za kibinadamu wanaungana kupinga vikali vitisho dhidi ya uzimwaji wa mtandao.