Global Network Initiative (GNI) iliasisiwa mnamo mwaka wa 2008 kama jukwaa la kuangazia suala la kukinga haki za kidijitali. Ni jukwaa la washikadau-wengi ambalo linajumuisha kampuni za teknolojia na mawasiliano, mashirika ya haki za kibinaadamu na mashirika ya uhuru wa vyombo habari, elimu na wawekezaji. Kanuni na Miongozo ya Utekelezaji za GNI hutoa mikakati endelevu kwa kufanya maamuzi ya uwajibikaji ya kampuni katika harakati za kuunga mkono uhuru wa kuzungumza na haki za ufaragha. Kila baada ya miaka mitatu, wanachama wa GNI hushiriki utathimini huru ili kufahamu hatua wamepiga katika utekelezaji Kanuni za GNI.
60 dakika
Shutdown Academy
60 dakika
Shutdown Academy
Tunatafuta mashirika bunifu ambayo yana vifaa vya kipekee vya kufundishia ambavyo vinaweza kutumiwa kwenye jukwaa la Advocacy Assembly.
Wasiliana nasiPata kozi za hivi punde kwenye kabrasha.
Jiandikishe kupata jarida letu leo