Shutdown Academy

60 dakika

Kushauriana na sekta binafsi ili kusitisha Uzimaji Mtandao

Global Network Initiative
Muhtasari:
Kozi hii inaangazia mashauriano kati ya sekta binafsi katika kusitisha uzimaji mtandao. Inaongozwa na Mkurugenzi Mkuu kutoka Global Network Initiative (GNI) ambao watawatanguliza wanafunzi katika mipangilio muhimu, kama vile kubadilisha mahusiano na pandashuka baina ya sekta binafsi na serikali, jinsi ya kuwafiki na kujenga uhusiano ya wao. Kozi hii pia itaangazia uimarishaji wa mahusiano ya muda-mrefu ili kupunguza na hatimaye kusitisha uvurugaji angavu, ikiwa pamoja na uzimaji wa “jumla”.
Kuhusu kozi hii:
Kozi hii imeundwa ili kuwafaa watetezi, wanaarakati, wahamasishaji, mawakili, watetezi haki za kibinaadamu, watu binafsi, na wanahabari kuwa na mbinu msingi za kushauriana na sekta binafsi wakati wa kupigania kusitisha uzimaji mtandao.
Najifunza nini:
Kozi hii tangulizi inalenga kuwa watetezi wa haki za binaadamu, wanahabari, wanaharakati, na watu binafsi jinsi ya kusaidia dhidi ya uzimaji mtandao, na namna bora ya kufanya kazi na wao, mbinu mseto na pandashuka kufahafu kuhusu na jinsi ya kuimarisha uhusiano imara na wao. Itagusia pia jinsi ya kuangazia uimarishaji wa uhusiano wa muda-mrefu ili kupunguza na hatimaye kusitisha uvurugaji angavu, ikiwa pamoja na uzimaji wa “jumla”.
Ni nini nafaa kujua:
Hii kozi ni muhimu kwa yeyote ana nia ya kuelewa ni vipi anashauriana na kuimarisha ushirikiano na sekta binafsi kwa lengo la kusitisha uzimaji mtandao. Global Network Initiative ni shirika lisilo la kiserikali ambalo lina lengo la kuzuia udhibiti Mtandao na serikali za kiimla na kulinda haki za mtandao za watu binafsi. Linafadhiliwa na muungano wa mashirika kadhaa ya kimataifa, mashirika yasiyo ya kibiashara na vyuo vikuu.

Walimu

Jason Pielemeier

Kama Mkurugenzi Mkuu, Jason anaongoza kundi kubwa mseto-la washika dau wa haki za kibinaadamu, kuimarisha uwiano kwa kuendeleza uhuru wa kuzungumza na faragha miongoni mwa kampuni za teknolojia, elimu, haki za binaadamu na makundi ya haki za vyombo vya habari na wawekezaji wenye uwajibikaji. Hapo awali Jason alihudumu kama Naibu Mkurugenzi na Mkurugenzi Mkuu wa sera katika GNI.

1.1 Utangulizi wa Kozi
1.2 Jukumu la Sekta Binafsi ni lipi katika Uzimaji Mtandao?
1.3 Uvurugaji unaamrishwa vipi?
2.1 Ni vipi ISPs itashughulikia uvurugaji wa mtandao?
2.2 Orange - Kisa cha kupigia mfano
2.3 Kisa cha kupigia mfano: Mtazamo wa Kampuni - Orange
2.4 Kisa cha kupigia mfano: Hali ya Kampuni - Telenor Group
3.1 Kujifahamisha na hali ya mahali ulipo
3.2 Kujifahamisha na sheria za eneo lako
4.1 Kujifahamisha na kampuni
4.2 Kuimarisha uhusiano uliopo
4.3 Wakati na baada ya uvurugaji wa mtandao
5.1 Je, mashirika mengine ya teknolojia yanaweza kufanya nini?
5.2 Kuimarisha muungano wa uhamasishaji na Kampuni-zisizo za Kiteknolojia
5.3 Swali
6.1 Hitimisho
6.2 Course Survey

Kozi zinazohusiana

  • 60 dakika

    Shutdown Academy

    Kichwa cha Kosi : Kunakili Ukiukaji wa Haki za Binadamu wakati wa Kuzimwa Mtandao

    WITNESS

    60 dakika

    WITNESS
  • Open Observatory of Network Interference (OONI)

    90 dakika

    Open Observatory of Network Interference (OONI)

usomaji unaopendekezwa

Ruka enda kwa upitiaji/urambazaji
0
0
  • Faragha
  • Maagizo