Mshirika

Internet Intelligence Lab

The Internet Intelligence Lab ni ukumbi wa masomo ya utafiti katika Georgia Tech School ya Sayansi ya Kompyuta katika Taasisi ya Kompyuta. Tunaangazia kuelewa na kuimarisha usalama na utegemeaji wa mtandao. Timu yetu inajumuisha kundi la watafiti kutoka taaluma mbalimbali kutoka Nyanja za sayansi ya kompyuta na sayansi ya kijamii.

 

Kozi

 • 60 dakika

  Shutdown Academy

  Kutambua Uzimaji Mtandao na IODA

  Internet Intelligence Lab

  60 dakika

  Shutdown Academy

  Kutambua Uzimaji Mtandao na IODA

  Internet Intelligence Lab

Je ungependa kuwa mwalimu?

Tunatafuta mashirika bunifu ambayo yana vifaa vya kipekee vya kufundishia ambavyo vinaweza kutumiwa kwenye jukwaa la Advocacy Assembly.

Wasiliana nasi

Pata kozi za hivi punde kwenye kabrasha.

Jiandikishe kupata jarida letu leo

Ruka enda kwa upitiaji/urambazaji
0
0
 • Faragha
 • Maagizo