Mshirika

Open Observatory of Network Interference (OONI)

Katika mwaka wa 2012, shirika la Open Observatory of Network Interference (OONI)lilianzishwa kwa lengo la kuimarisha juhudi za kutoka kanda mbalimbali kunakili udhibitia wa mtandao kote ulimwenguni. Katika utendaji, OONI inaunda programu ya bila malipo -- OONI Probe– ambayo yeyote anaweza kutumia kupimia angavu na kutambua udhibiti wa mtandao. Ili kuongeza uwazi katika udhibitiwa mtandao, OONI huchapisha matokeo ya majaribio yote ya OONI Probe yaliyokusanywa kote ulimwenguni kwa wakati-halisi kama data huru.

Leo hii, OONI ni jumuia ya maelfu ya watumiaji wa OONI Probe katika zaidi ya nchi 200 na maeneo.Tangu 2012, jumuia ya OONI imechangiazaidi ya angavu ya mitandao milioni 525 ya vipimo, ambapo nyingi yazo zimeangaziaudhibiti wa mtandao wa namna mbalimbali ulimwenguni.

Kozi

 • 90 dakika

  Shutdown Academy

  Kupima Udhibiti wa Mtandao ukitumia zana za OONI na data huru

  Open Observatory of Network Interference (OONI)

  90 dakika

  Open Observatory of Network Interference (OONI)

Je ungependa kuwa mwalimu?

Tunatafuta mashirika bunifu ambayo yana vifaa vya kipekee vya kufundishia ambavyo vinaweza kutumiwa kwenye jukwaa la Advocacy Assembly.

Wasiliana nasi

Pata kozi za hivi punde kwenye kabrasha.

Jiandikishe kupata jarida letu leo

Ruka enda kwa upitiaji/urambazaji
0
0
 • Faragha
 • Maagizo