Shutdown Academy

90 dakika

Kupima Udhibiti wa Mtandao ukitumia zana za OONI na data huru

Open Observatory of Network Interference (OONI)
Muhtasari:
Kupitia kozi hii, utajifunza jinsi ya kupima udhibiti wa mtandao kwa kutumia zana za OONI. Pia utajifunza namna ya kufikia na kuchanganua data za OONI katika muda-halisi kwenye udhibiti wa mtandao kote ulimwenguni.
Kuhusu kozi hii:
Takribani kila nchi ulimwenguni inakumbana na baadhi ya visa vya udhibiti wa mtandao. Kile kinachotofautisha nchi dhidi ya nchi nyingine ni tovuti na viunzi gani vimefungwa, na athari ya kufungwa kwayo. Wakati wa kura na maandamano ulimwenguni, serikali kila mara uagiza kufungwa kwa mitandao ya kijamii inayotumika sana (kama vile WhatsApp na Facebook). Katika nchi nyingi, serikali pia uagiza kufungwa kwa vyombo vya habari huru, tovuti za makundi madogo, na idadi nyinginezo mashirika ya mitandaoni. Ni vipi tunaweza kuwa na uangalizi wa udhibiti wa mtandaoni ulimwenguni na kuwajibisha walioko mamlakani?
Najifunza nini:
Utangulizi wa kozi hii, unadhamiria kuwapa watetezi wa haki za kibinaadamu ufahamu na ujuzi wa kudadisi udhibiti wa mtandao ulimwenguni. Hususan, utajifunza: Jinsi ya kupima udhibiti wa mtandao ukitumia OONI Probe Jinsi ya kuingia na kuchanganua data za OONI za kupima udhibiti
Ni nini nafaa kujua:
Hamna ujuzi wa kiufundi unaohitajika katika kozi hii! Hii ni kozi ya wanaoanza, inayolenga watetezi wa haki za kibinaadamu, wanahabari, na watafiti ambao wanapania katika masuala ya udadisi na kujibu udhibitiwa mtandao duniani.

Walimu

Maria Xynou

Maria Xynou amefanya kazi na Open Observatory of Network Interference (OONI)tangu 2016, ambapo anasimamia ushirikiano wa jamii na utafiti wa udhibiti wa mtandao ulimwenguni. Awali, alifanya kazi na Tactical Techambapo aliunda raslimali za faragha na usalama wa kidijitali, alidadisi tasnia ya data na alifanikisha warsha za usalama wa kidijitali kwa watetezi wa haki za binaadamu.

1.1 Utangulizi wa kozi
2.1 Nini udhibiti wa mtandao?
2.2 Tatizo la udhibiti mtandao
2.3 Baadhi ya mambomsingi ya mtando
2.4 Udhibiti wa mtandao utekelezwa vipi?
2.5 Quiz
3.1 Kwa nini kupima udhibiti mtandao?
3.2 Ni jinsi gani ya kupima udhibiti mtandaoni
3.3 Mfano: Kupima udhibiti mtandao nchini Tanzania
4.1 OONI Probe ni nini
4.2 Uwezekano wahatari
4.3 Matayarisho ya utendajikazi: Kujianda kutumia OONI Probe
4.4 Utimiaji wa OONI Probe
4.5 Kufikia matokeo ya jaribio la OONI Probe
4.6 Jaribio otometiki la OONI Probe
4.7 Kukagua kategori za tovuti fulani
4.8 Kukagua tovuti unazopendelea
4.9 Upangiliaji wa kiunzi cha OONI Probe
4.10 Quiz
5.1 Kuelezea data OONI
5.2 Ni vipi OONI Probe ukagua uzuiaji wa tovuti
5.3 Jinsi ambavyo OONI Probe uangalia kuzuiwa kwa programu za ujumbe wa papo hapo
5.4 Ni OONI Probe inakagua uzuiaji wa vifaa vya ukwepaji
5.5 Kisa cha kupigiwa mfano: Kutumia data za OONI kama sehemu ya kampeni #KeepItOn
6.1 Ni nini OONI Explorer?
6.2 Kutumia Kifaa cha Utafutizi) cha OONI
6.3 Kuangalia data za OONI kuhusiana na ufungaji tovuti
6.4 Kuangalia data za OONI kuhusiana na ufungaji viunzi
6.5 Kurasa za nchi za OONI Expolorer
6.6 Kuangalia data za OONI kwa jumla
6.7 Quiz
7.1 Uchunguzi wa kozi
7.2 Hitimisho

Kozi zinazohusiana

 • 60 dakika

  Shutdown Academy

  Kichwa cha Kosi : Kunakili Ukiukaji wa Haki za Binadamu wakati wa Kuzimwa Mtandao

  WITNESS

  60 dakika

  WITNESS
 • 60 dakika

  Shutdown Academy

  Utangulizi kuhusu uzimaji mtandao

  Access Now

  60 dakika

  Shutdown Academy

  Utangulizi kuhusu uzimaji mtandao

  Access Now

usomaji unaopendekezwa

Ruka enda kwa upitiaji/urambazaji
0
0
 • Faragha
 • Maagizo