Mshirika

Access Now

Access Now ni shirika lisilo la kibiashara lililoanzishwa 2009 kwa mwito wa kupigania na kueneza haki za kiraia za kidijitali kwa watu kote ulimwenguni. Access Now inasaidia miradi ikiwa ni pamoja na RightsCon, kongamano la kila mwaka la Haki za Kibinaadamu na #KeepItOn, msururu wa uzimaji mtandao. Pia inatoa kiungo cha kutokea kwenye angavu ya Tor. Kufikia mwaka wa 2020, Access Now ilikuwa na sheria nchini Belgium, Costa Rica, Tunisia, na Marekani, pamoja na wafanyakazi wake, utendaji na shughuli zote zikiwa zimeenezwa katika kanda zote za ulimwenguni.

Kozi

 • 60 dakika

  Shutdown Academy

  Utetezi na Kampeni Dhidi ya Kuzimwa kwa Mtandao

  Access Now

  60 dakika

  Access Now
 • 60 dakika

  Shutdown Academy

  Utangulizi kuhusu uzimaji mtandao

  Access Now

  60 dakika

  Shutdown Academy

  Utangulizi kuhusu uzimaji mtandao

  Access Now

Je ungependa kuwa mwalimu?

Tunatafuta mashirika bunifu ambayo yana vifaa vya kipekee vya kufundishia ambavyo vinaweza kutumiwa kwenye jukwaa la Advocacy Assembly.

Wasiliana nasi

Pata kozi za hivi punde kwenye kabrasha.

Jiandikishe kupata jarida letu leo

Ruka enda kwa upitiaji/urambazaji
0
0
 • Faragha
 • Maagizo