Shutdown Academy

60 dakika

Kuandaa Mpangilio Tekelezi Dhidi ya Uzimaji Mtandao

Internews
Muhtasari:
Kozi hii inafunzwa na Laura Schwartz-Henderson inawapa wanaoshiriki ujuzi wa utetezi, mbinu za utafiti, na mpangilio mwafaka dhidi ya uzimwaji na kupata fedha za kugharimikia shughuli za kupinga uzimaji.
Kuhusu kozi hii:
Kozi hii itafunza uelewe mahitaji na changamoto za uhamasisho ambazo jamii ukumbana nayo wanapopigana dhidi ya uzimaji. Utapewa kijitabu cha kuandika majadiliano kuhusiana na shughuli za uhamasisho na kuweka mipangilio yenu sawa kabla ya uzimaji kufanyika.
Najifunza nini:
Katika kozi, utajufundisha ujuzi wa uhamasisho unaohitaji kupigana dhidi ya uzimaji, ni vipi utatumia utafiti kuelewa mahitaji ya jamii yenu inapofikia maswala ya kujibu na uzuiaji, na vipi utaweka taarifa hii na kuitumia kukuza mpangilio wa utekelezaji imara dhidi ya uzimaji. Mchakato huu wa mpangilio wa utekelezaji utakusaidia kupanga na kutoa kipaombele kwa shughuli na pia kukupa taarifa na mfumo hitajika wa kuomba fedha za shughuli za kupinga uzimaji.
Ni nini nafaa kujua:
Ni muhimu iwapo una ufahamu wa uzimaji mtandao na umefanya baadhi ya kozi za advocacy assembly, lakini si lazima.

Walimu

Laura Schwartz-Henderson

Laura Schwartz-Henderson ni mwasisi wa Curious Shapes, shirika la kitalamu ambalo linatumia utafiti na kampeni bunifu kwa kupigania haki za kidijitali. Katika kazi hii, anashirikiana na wanaharakati, mawakili, wanahabari, wasanifu, wanasanaa, na wanateknolojia kutoka kote ulimwenguni kuunda miradi ya kitafiti ya kufanywa na kukuza kampeni za uhamasisho.

1.1 Utangulizi wa kozi
2.1 Jifahamishe ni nini uzimaji na jinsi haina za uzimaji utokea
2.2 Kwanini serikali huzima mtandao na nini uleta msukumo wa uzimaji?
2.3 Athari ya uzimaji
2.4 Jua kile unafaa kupigania dhidi ya uzimaji
3.1 Ni kwanini tunafaa kufanya utathmini wa hatari
3.2 Mbinu Tathmini ya Mahitaji: Kutumia utafiti kuweka malengo ya jamii na mwongozo wa up
3.3 Jinsi gani ya kutathmini hatari ya kuzimwa mtandao?
3.4 :Jinsi ya kutathmini mahitaji ya jamii yako
3.5 Senegal: Hatua za uzuiaji na utendakazi wa kupigana dhidi uzimaji
4.1 Ni NANI: Kutathmini washikadau
4.2 LINI: Kutayarisha kalenda
4.3 DHANA YA NINI: Kupanga mikakati na kuweka kipaumbele shughuli na mbinu zetu
4.4 Bangladesh: Kutumia Utafiti Kukuza Uhamasisho katika Wakati wa Changamoto za Kisiasa
5.1 Hitimisho
5.2 Course survey

Kozi zinazohusiana

 • 60 dakika

  Shutdown Academy

  Kichwa cha Kosi : Kunakili Ukiukaji wa Haki za Binadamu wakati wa Kuzimwa Mtandao

  WITNESS

  60 dakika

  WITNESS
 • Open Observatory of Network Interference (OONI)

  90 dakika

  Open Observatory of Network Interference (OONI)

usomaji unaopendekezwa

Ruka enda kwa upitiaji/urambazaji
0
0
 • Faragha
 • Maagizo