Changamoto na fursa kwaajili ya mpango mkakati wa kupingana na uzimwaji wa mtandao

Mpango mkakati umeonesha kuwa sahihi kwa yanayoendelea kwenye suala la uzimwaji wa mtandao kwa kupanga viwango vya kupingana na  mkanganyiko wa kusababisha madhara. Hivi karibuni kumekuwa na kesi mbalimbali ikiwemo ECOWAS  na kuamrisha Nigeria kutokufunga tiwtter.

Kama sehemu ya uchechemuzi unaofanywa na hii kozi ilikusanya meza ya majadiliano kwenye mpango mkakati kupingana na uzimwaji wa mtandao. Kwenye majadiliano Wataalamu walioongelea uzoefu wa changamoto wa uzimwaji mahakamani Kitaifa na kikanda na Kushea mazoezi kwenye mkakati wa kisheria.

Tunafurahi kutoa Shukrani kwa Wataalamu wote waliojumuika nasi.

 • Toby Mendel,  Mkurugenzi Mtendaji shirika la  Centre of Law and Democracy
 • Monirayo Ogunlana Oluwatoyin, Mkurugenzi Shirika la DIGICIVIC
 • Damar Juniarto, Mkurugenzi shirika la Southest Asia Freedom of Expression Network
 • Peter Micek , Mshauri mkuu na meneja wa sera shirika la Umoja wa Kimataifa
 • Saba, Mkuu wa kitengo sha sheria  Shirika la Media defence
 • Radhika Jhalani, Mshauri shirika la Software Freedom of Law centre
 • Laura Schwartz-Henderson, Muwezeshaji

Sasa tupate mukhtasari wa mambo muhimu yaliooongelewa kwenye mkutano.

Toby Mendel, Mkurugenzi wa taasisi ya Sheria na Demokrsia alihamasisha majadiliano kwa kuangalia umuhimu wa kushirikiana kwa makundi mbalimbali. Alisisitiza umuhimu wa kuchukua kwa umakini  safu na masuluhisho ya mahakama.

Saba, Kiongozi mkubwa wa kisheria na ulinzi wa vyombo vya habari, Kuongelea yanayoendelea katika uzimwaji na mikakati katika kupinga upatikanaji wa mtandao, ikiwemo upatikanaji hafifu na wa kuchelewa. “Uzimwaji umekuwa muhimu na ngumu kuthibitisha. Na kwa ulinzi wa kitaifa mfano Uzimwaji wa mtandao uliothibitishwa. Inaleta ugumu kwenye mikakakati ya kitaifa ambayo sio sahihi.”

Akasisitiza umuhimu wa kuhusisha taasisi na wanasheria kwenye kubaini na kuthibitisha kesi.

Changamoto ya uzimwaji wa mtandao Nigeria, Indonesia na India

Mojirayo Ogunlana Oluwatoyin kutoka DIGICIVIC walitoa undani wa kesi za madai nchini Togo na Nigeria. Kuonesha uzoefu wake kama Mwanasheria wa haki za Kidijitali alionesha uuelewa wake kwa vitendo.

Tangia mwanzo, rasimu zako zinaonesha kila kitu. Rasimu kwenye nyalaka muhimu zinaonesha makali. Hivyo sio kuhusu malumbano unayoweza kuyapata mahakamani, hata kama ni muhimu inabidi kuwa na nyalaka muhimu inayooonesha ukusanywaji ulio sahihi na wenye mantiki, Alafu Jaji aweze kufuatilia na kuelewa muktadha husika." Mojirayo Ogunlana Oluwatoyin

Inatupeleka Indonesia, Damar Juniarto akiwakilisha SAFnet ameonesha mkakati wa kisheria ili kupinga uzimwaji wa mtandao magharibi ya Papua. Alionesha maelezo ya Mahakama kwa kutumia majaribio ya aina tatu na kutoa mwongozo wa kisheria na hoja za kikundi cha Wataalamu was sheria kuonesha hasara za uzimwaji mtandao.

Radhika Jhalani ikiwakilisha Software Freedom Law centre, imesisitiza uibukaji wa muda mfupi hasa wa kimkoa kuzima mtandao na kujadiliana na mamlaka ya kisheria zinazowazunguka.

Ili kukabiliana na vikwazo hivi vya muda na rasilimali, Radhika Jhalani alishea juhudi za jamii kwenye masuala ya haki za Kidijitali kwa kushirkisha na kutoa mafunzo kwa Wanasheria kote nchini.

Katika maoni yake, Peter Micek wa Access Now, alitaka kuweka kipaumbele kwa kipimo na nyaraka za kuzima ili kufahamisha majibu thabiti ya kisheria. Ili kupanua zaidi wigo wa mkakati wa kesi, alishiriki mbinu mwafaka ya kutumia madai ya utaratibu inapofaa na akasisitiza umuhimu wa kujumuisha aina nyingine za uchechemuzi wa umma na uwajibikaji wa mashirika.

Pia alihimiza sheria tendaji kuweka kanuni kwamba ufikiaji wa mtandao ni sharti la haki za kimsingi za binadamu.

Tukio hili lilikuwa fursa ya kupanga mikakati ya msaada wa muda mrefu kwa mawakili wa kisheria katika kushughulikia uzimwaji kwa mtandao. Ili kujifunza kwa kina jinsi ya kutumia mashauri ya kimkakati, jiunge na kozi yetu kwa ushirikiano na Kituo cha Sheria na Demokrasia: kwa kujisajili.

Kozi zinazohusiana

 • 60 dakika

  Shutdown Academy

  Kichwa cha Kosi : Kunakili Ukiukaji wa Haki za Binadamu wakati wa Kuzimwa Mtandao

  WITNESS

  60 dakika

  WITNESS
 • Open Observatory of Network Interference (OONI)

  90 dakika

  Open Observatory of Network Interference (OONI)

Blogu

Ruka enda kwa upitiaji/urambazaji
0
0
 • Faragha
 • Maagizo